Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
Hakika mkuu ...hana kabisa talanta hiyo.huyo jamaa sijawahi kumuelewa,lazima alitumia uchawi kuajiriwa...maana hana kipaji chochote.
Ni noma sanaWabongo kwa Majungu hatari sana
Halalu ikitokea akifa utasikia"Haijawahi kutokea mtangazaji mzuri wa mpira kama Maulidi kitenge"Ni noma sana
Kibonde yuko poa sana, katika wale watangazaji wote wa kiswahili dstv, Kibonde yuko vizuri sana kwenye kutangaza. Hatumii nguvu na anajua anatangaza kitu ambacho watu wanaona pia. Kwenye usaidizi wa kutoa maelezo maestro anajitahidi nae.Kuna Radio moja ya Arusha nimeisau jina , kwakweli yule jamaa anatangaza mpira hadi unadhani upo live uwanjani...tofauti kabisa na utangazaji wa Maulid ambapo yeye unaona mpita kwenye Tv lakini bado style ya Utangazaji inapoteza utamu wa mpira.
Ni mara kumi ya Emphraim Kibonde kuliko Maulid Kitenge. (Unajikaza sana Brother)
upo sahihi kabisaKibonde yuko poa sana, katika wale watangazaji wote wa kiswahili dstv, Kibonde yuko vizuri sana kwenye kutangaza. Hatumii nguvu na anajua anatangaza kitu ambacho watu wanaona pia. Kwenye usaidizi wa kutoa maelezo maestro anajitahidi nae.
Kuna Radio moja ya Arusha nimeisau jina , kwakweli yule jamaa anatangaza mpira hadi unadhani upo live uwanjani...tofauti kabisa na utangazaji wa Maulid ambapo yeye unaona mpita kwenye Tv lakini bado style ya Utangazaji inapoteza utamu wa mpira.
Ni mara kumi ya Emphraim Kibonde kuliko Maulid Kitenge. (Unajikaza sana Brother)
kweli mkuu, na huyu atakuwa ni Ephraim kibonde mwenyeweWabongo kwa Majungu hatari sana
Chanel no ngapi mkuuNamsikiliza hapa Dstv yeye pamoja na Oscar wote wazinguaji.
Huwa namkubali sana Ibrahim Masoud Maestro
DSTV Channel 214Chanel no ngapi mkuu