Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kwa nini upende kutangaziwa? Ziba masikio, tazama mpira. Kusumbuana huku sasa. Hamna jema?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakika mkuu ...hana kabisa talanta hiyo.
Yaani unasikiliza mpira ka unasikiliza Taarifa ya Habari inayohusu tukio baya.
Anapiga makelele tuKuna Radio moja ya Arusha nimeisau jina , kwakweli yule jamaa anatangaza mpira hadi unadhani upo live uwanjani...tofauti kabisa na utangazaji wa Maulid ambapo yeye unaona mpita kwenye Tv lakini bado style ya Utangazaji inapoteza utamu wa mpira.
Ni mara kumi ya Emphraim Kibonde kuliko Maulid Kitenge. (Unajikaza sana Brother)
poa niaje?Vp edo kumwembe?
Halalu ikitokea akifa utasikia"Haijawahi kutokea mtangazaji mzuri wa mpira kama Maulidi kitenge"
214 Dstv inaonesha vizuri, ukiweka 290 hiyo ya tbc na tv1 utaona utofautiDSTV Channel 214
Jamaa anajikamua balaa, anaweza kunya studioKuna Radio moja ya Arusha nimeisau jina , kwakweli yule jamaa anatangaza mpira hadi unadhani upo live uwanjani...tofauti kabisa na utangazaji wa Maulid ambapo yeye unaona mpita kwenye Tv lakini bado style ya Utangazaji inapoteza utamu wa mpira.
Ni mara kumi ya Emphraim Kibonde kuliko Maulid Kitenge. (Unajikaza sana Brother)
Aisee kumbe umel8ona hili!!Kuna Radio moja ya Arusha nimeisau jina , kwakweli yule jamaa anatangaza mpira hadi unadhani upo live uwanjani...tofauti kabisa na utangazaji wa Maulid ambapo yeye unaona mpita kwenye Tv lakini bado style ya Utangazaji inapoteza utamu wa mpira.
Ni mara kumi ya Emphraim Kibonde kuliko Maulid Kitenge. (Unajikaza sana Brother)