Maulid Kitenge hujui kutangaza mpira

Maulid Kitenge hujui kutangaza mpira

Nilizani peke yangu ninae muona hivyo, angalau Kibonde anatulia
 
Hawawezi watu wote kufanana na usiempenda wewe anapendwa na wengine cha msingi jifunze kukubali tofauti zetu
 
Kuna Radio moja ya Arusha nimeisau jina , kwakweli yule jamaa anatangaza mpira hadi unadhani upo live uwanjani...tofauti kabisa na utangazaji wa Maulid ambapo yeye unaona mpita kwenye Tv lakini bado style ya Utangazaji inapoteza utamu wa mpira.
Ni mara kumi ya Emphraim Kibonde kuliko Maulid Kitenge. (Unajikaza sana Brother)
Anapiga makelele tu
 
Mimi sio fan wa mpira ila jana usiku nikawa nimeweka TBC afu siangalii kombe la dunia nikawa busy na laptop,ghafla naskia mtangazaji wakati wa mechi anasoma texts za mashabiki za insta, hii imekaaje ?
 
Watangazaji wa mpira karibia wote Tanzania wana uelewa mdogo na hawataki kujifunza,wanaropoka data za uongo bila aibu,mwingine anaona timu zinacheza halafu anazikosea majina.Angalau wachambuzi kadhaa ni uwaziri sana kama Leakey Abdalah,Mwalim Kashasha,Eddo Kumwembe,Oscar Oscar na hata Shafii.
 
Kuna Radio moja ya Arusha nimeisau jina , kwakweli yule jamaa anatangaza mpira hadi unadhani upo live uwanjani...tofauti kabisa na utangazaji wa Maulid ambapo yeye unaona mpita kwenye Tv lakini bado style ya Utangazaji inapoteza utamu wa mpira.
Ni mara kumi ya Emphraim Kibonde kuliko Maulid Kitenge. (Unajikaza sana Brother)
Jamaa anajikamua balaa, anaweza kunya studio
 
Kuna Radio moja ya Arusha nimeisau jina , kwakweli yule jamaa anatangaza mpira hadi unadhani upo live uwanjani...tofauti kabisa na utangazaji wa Maulid ambapo yeye unaona mpita kwenye Tv lakini bado style ya Utangazaji inapoteza utamu wa mpira.
Ni mara kumi ya Emphraim Kibonde kuliko Maulid Kitenge. (Unajikaza sana Brother)
Aisee kumbe umel8ona hili!!
Jamaa anasauti nzuri lkn nashangaa akitangaza anajikaza na kubana sauti.

Inakera sana
 
Back
Top Bottom