johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
KADA wa CCM na mwanahabari nguli Maulid Kitenge amewataka Viongozi wa Africa kufanya maamuzi Kwa umakini mkubwa Ili wasije kutuletea majuto huko mbele
" Tusipoushughulikia vizuri Uhuru wetu Wakoloni Watarudi Kwa jina la Wawekezaji" amesema KADA huyo wa CCM anayeaminiwa sana na Wawekezaji wa Bandarini Ukurasani kwake X