Maulid Kitenge: Kama tusipoushughulikia Uhuru wetu vizuri Wakoloni watarudi Kwa jina la Wawekezaji!

Maulid Kitenge: Kama tusipoushughulikia Uhuru wetu vizuri Wakoloni watarudi Kwa jina la Wawekezaji!

Huyo na wenzie ndio walikuwa madalali baada ya kulipiwa nauli na malazi kwenda Dubai kupigia upatu DP World na kumsafisha huyo mama yenu alipouza bandari huku wakijiita "wazee wa kupakua minyama"

Atulie bandari ipakuliwe vizuri na DP World huku wakipata mgao, historia itawakumbuka wazalendo wa kweli waliosimama kuitetea Tanganyika na sio hawa madalali.
 
Back
Top Bottom