Huyu mtu hata akiwa kwenye mazungumzo ya kawaida na mtu/watu, EarPods hatoi.
Na anahakikisha zinaonekana.
EFM jogging nako, akiwa jogging na masela basi kila siku picha apigwe yeye tuuuuuuu huku ameshikilia iPhone 13 mkononi ikionyesha macho matatu ilimradi tu ionekane.
Kwa kweli mimi namuona mshamba na mtu mwenye ulimbukeni wa kijinga sana ukizingatia umri wake na ‘exposure’ aliyokuwa nayo.
Labda anashida ya usikivuHuyu mtu hata akiwa kwenye mazungumzo ya kawaida na mtu/watu, EarPods hatoi.