Maulid Kitenge na EarPods ni ushamba au ujanja?

Hiyo ni style yake ya maisha mimi sioni kuna shida. Ni sawa na mtu anakuwa na uraibu wa sigara au pombe.
 
Tafuta hela ili wengine wanapotumia zao usione ni ushamba na show off.
 
Kuna Hasheem Ibwe wa Azam Tv yeye akiwa studio ile iPhone 13 pro max yake haikaagi mfukoni, muda wote ipo mkononi yaani hata akiwa na wenzake wanachambua mechi za NBC lazma ashike mkononi...Ushamba
 
Ni ushamba wa kiwango cha lami
 
Back
Top Bottom