Maulid Kitenge na Haji Manara Kulikoni?

Maulid Kitenge na Haji Manara Kulikoni?

KWEZISHO

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2016
Posts
7,519
Reaction score
6,518
Wanajamvi habari za wakati. Naomba kuuliza, hivi Haji Manara na kituo cha radio E-fm wana ugomvi? Haji Manara ndiye msemaji rasmi wa Klabu ya Simba. Binafsi sijawahi kumsikia Malidi Kitenge akimuhoji Haji Manara. Siku za hivi karibuni E-fm wamekuwa wakimhoji Mussa Mgosi tangu ligi imeanza. Au Mussa Hassani Mgosi ndie aliyevikwa koti la kuwa ndiye msemaji wa Klabu ya Simba? Tafadhari mwenye taarifa tujuzane.
 
Akina kitenge washapelekewa mswada wao bungeni,wandishi kanjanja,hawana hata diploma huku wakijivunia vipaji,hawana habari za ku balance,wanaondoka soon kwenye game,akina Diva wa Clouds nao
Ina maana muda sio mrefu mshambuliaji namba tisa tutamkosa kwenye tasnia ya habari?
 
Back
Top Bottom