KWEZISHO
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,519
- 6,518
Wanajamvi habari za wakati. Naomba kuuliza, hivi Haji Manara na kituo cha radio E-fm wana ugomvi? Haji Manara ndiye msemaji rasmi wa Klabu ya Simba. Binafsi sijawahi kumsikia Malidi Kitenge akimuhoji Haji Manara. Siku za hivi karibuni E-fm wamekuwa wakimhoji Mussa Mgosi tangu ligi imeanza. Au Mussa Hassani Mgosi ndie aliyevikwa koti la kuwa ndiye msemaji wa Klabu ya Simba? Tafadhari mwenye taarifa tujuzane.