Ina maana muda sio mrefu mshambuliaji namba tisa tutamkosa kwenye tasnia ya habari?Akina kitenge washapelekewa mswada wao bungeni,wandishi kanjanja,hawana hata diploma huku wakijivunia vipaji,hawana habari za ku balance,wanaondoka soon kwenye game,akina Diva wa Clouds nao
Huyu yeboyebo mwenzio tutamkosa hakuna namna,muda wote huo ameshindwa kujiendeleza?..Ina maana muda sio mrefu mshambuliaji namba tisa tutamkosa kwenye tasnia ya habari?
Duu wapo wengi mno hapa Bongo.Akina kitenge washapelekewa mswada wao bungeni,wandishi kanjanja,hawana hata diploma huku wakijivunia vipaji,hawana habari za ku balance,wanaondoka soon kwenye game,akina Diva wa Clouds nao