Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,622
- 4,100
Kama una Hela ujinga sio kitu, uwe na akili halafu unajivunia bando utawafuatilia wanaume wenzako wanavaa Nini wako wapi,wanafanya Nini,uliza mtu yoyote mwenye Maisha maulidi Yuko wapi atakujibu none of my business.Pia unaweza kuwarithisha watoto wako ujinga wako na wa muneo