Maulid Kitenge, propaganda ulizotumwa kuzifanya kwa wana-Ngorongoro hazitakuacha salama


Tukubali kuchambua ukweli kabla ya kuunga mkono au kupinga hili suala la hifadhi ya ngorongoro kuishi na watu na mifugo je ni endelevu? Je hifadhi inaweza kubeba presha yote ya kuongezeka kwa idadi ya watu,mifugo,wanyama,nyumba za kisasa,umeme,magari,pikipiki,majengo ya shule, zahanati,viwanja vya michezo, masoko, vituo vya redio,nyumba za ghorofa, na kila aina ya maendeleo inayokuja duniani kwa mtazamo wangu ni busara kuamua kukubali moja ngorongoro ibaki kuwa hifadhi au ibaki kuwa makazi ya watu haiwezekani kuendelea yote mbili kuwepo.
 
Shule INAPIGWA ...jamiiforums IBARIKIWE
 


Wamassai na Wamangati ni tatizo sana. Nendeni Monduli muone walivyobadilisha sehemu yote ile kuwa kame na jagwa
 
Hamuwajui wamasai Ile creater wataifanya ziwa muda si mrefu mkose wote
 
Tatizo ni idadi ya watu, serikali iandae mpango kabambe wa uzazi wa mpango kuzuia watu kuongezeka zaidi.
 
Huyo ni mtoto aulize akina Stan Katabalo aliyekuwa mwandishi wa gazeti la mfanyakazi. Sasa hivi ni marehemu. Ukicheza na hizi hifadhi ni kama umecheza na wauza silaha ama unga au mafuta. Wale Waarabu waondoke mzee Mwinyi alifanya kitu cha hovyo sana.
 
Acha visingizio visivyo na tija, mabadiliko Tabia nchi duniani kote huiongelei unabebesha mizigo community yenye mchango hafifu katika hilo.?


Sent using Jamii Forums mobile app


Si kweli 😂 tatizo ni kulisha ng’ ombe bila utaratibu kwa utaratibu wa sasa hawa jamaa wakiachiwa sehemu itakuwa jagwa huo ndiyo ukweli. Mimi nimekulia Arusha na nilipita huko kote 2016 nikaona mifugo inavyobadilisha sehemu kuwa jangwa. Yaani wamassai na wamangati hawana utaratibu wowote wa kutengenza mabwawa, kupanda miti au kulisha kwa awamu ili kuruhusu majani kuota. Sasa tunaoambana nao huko Bagamoyo hawana maeneo ni uvamizi tu!
 
Huyo ni mtoto aulize akina Stan Katabalo aliyekuwa mwandishi wa gazeti la mfanyakazi. Sasa hivi ni marehemu. Ukicheza na hizi hifadhi ni kama umecheza na wauza silaha ama unga au mafuta. Wale Waarabu waondoke mzee Mwinyi alifanya kitu cha hovyo sana.
Ñoted Mkuu...
 
Eti wamasai wanahitaji Rami maji safi?sisi tusuokuwa wamasai tunakunywa maji ya visima na yanachumvi
 
Wewe umelipwa shilingi ngapi kutetea hifadhi kufa?.
 
Wewe umelipwa shilingi ngapi kutetea hifadhi kufa?.
Nani alikuambia kwamba hifadhi inakufa? Propaganda anayoifanya Kitenge imewapiga upofu msijue nyuma ya pazia kuna nini.

Uharibifu wa hifadhi ni sabb hafifu dhidi ya wanaojiita wawekezaji wafanye yao ktk maaneo husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamassai na Wamangati ni tatizo sana. Nendeni Monduli muone walivyobadilisha sehemu yote ile kuwa kame na jagwa
Halafu wakishavuruga ardhi mahali furani wanahamia eneo lingine.
Miaka michache ijayo nchi nzima itakuwa Jangwa.
Tusicheke na hawa watu.
 
Tatizo kubwa zaidi ni ongezeko la idadi ya watu huku eneo la hifadhi likibaki na ukubwa ule ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…