Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Somebody said, AirPods journalist is looking towards being District Commissioner or equivalent in this regime.
FYI my Brother Mshambuliaji, hawa ndugu zetu pale wapo kihalali na walihamishwa toka miaka 1950's kutoka Serengeti na nakukumbusha kuna amri ya mahakama ya Afrika Mashariki EACJ inaikataza Serikali kuwaondoa na serikali imekuwa ikiheshimu Amri hiyo tangu sept 2018 (under Magu regime).
Kabla hujasema ya wanangorongoro chukua time ujifunze kwanza. Kwanza hushangai wanyamapori wanaweza vipi kuishi na binadamu bila kudhuriana?
Hivi kweli hujui kwamba hiyo coexistance iliyopo kati ya wanyamapori na na ng'ombe ipo miaka mingi na ndio kitu mojawapo inayovutia watalii, (pengine huna exposure )na ni aibu kwa kijana wa jamii ya pale kula swala au pundamilia wakati mbuzi wapo..
Anyway ni hivi kama unalipwa pesa kufanya propaganda acha mara moja, japo tunasikia kuna kitengo cha Intel NCCA wanahusika kufanya installment ya malipo..(tutacomfirm baadaye)
Tafuta takwimu ujue kama kweli hii hifadhi ipo hatarini , nanakuhakikishia HAKUNA, na kama ipo inakinzana na hali iliopo.
Nakukumbusha acha mara moja hizi propaganda,
Zitakuaharibia.
Pia soma > Hali ya Ngorongoro na wana-habari wanaoshinikiza wamasaai waondolewe hawajui chochote wanatumika vibaya bila kujua
Hao waandishi hopeless kabisa tena zero vichwani wanatoa idadi ya masai walioongezeka hawatoi idadi ya wanyama porii walioongezeka
Ukiangalia wanachosema utadhani wanyama pori hawaendelei kuzaliana tena wamesusa kuzaliana ngorongoro hadi masai waondoke ndio watazaliana kuongezeka
Ujengaji hoja wao hafifu sana na zero
Masai hali nyama pori ndio maana waliruhusiwa kuishi mbugani sio threat kwa wanyama pori kuwa watawaua hata wanyama pori wanawajua masai ni rahisi kukuta mtoto mdogo wa kimasai ngorongoro anachunga mbuzi au ndama katikati ya tembo na wanyama pori wengine kibao mtoto haogopi na wanyama pori hawamtishii maisha
Kuua simba kuoa ni mila potofu ilishapigwa vitaUna uhakika wamasai hawali nyama pori? Na zile mila zao za kuuwa simba ndiyo upewe mke bado zinaendele?
Inshort sehemu yeyote yenye wanyama pori binadamu hawatakiwi kuishi.....
Ngorongoro ni exceptional ndio bustani ya Eden pekee iliyosalia duniani ambapo binadamu anaishi na wanyama pori wakali kama simba nk peacefully
Inshort sehemu yeyote yenye wanyama pori binadamu hawatakiwi kuishi.....
Kwamba ukila Mnyama pori unanukia kama mnyama mwenyewe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mbona dar ingejaa harufu ya mbuzii na nguruwee mkuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] acheni mambo yenu masai wadhibitiweeeKuua simba kuoa ni mila potofu ilishapigwa vita
Masai hali nyama pori kabisa sababu ukiila simba hula nyama pori
Ukimla mnyama utakuwa na harufu ya mnyama pori simba atajua wewe mnyama atakutafuna.Simba wangewamaliza wamasai kwa kuwala
Ndio maana masai hali mnyama pori hataki kuliwa na simba
Ngorongoro ni exceptional ndio bustani ya Eden pekee iliyosalia duniani ambapo binadamu anaishi na wanyama pori wakali kama simba nk peacefully
Ni maajabu ambayo hayapo popote duniani yanapatikana ngorongoro tu ndio maana watalii wengi hufurika pale
Katumwa na nani?. Nimeiona ile video yeye na Oscar wameamua kuiharibia nchi yao wenyewe katika suala la utalii.Somebody said, AirPods journalist is looking towards being District Commissioner or equivalent in this regime.
FYI my Brother Mshambuliaji, hawa ndugu zetu pale wapo kihalali na walihamishwa toka miaka 1950's kutoka Serengeti na nakukumbusha kuna amri ya mahakama ya Afrika Mashariki EACJ inaikataza Serikali kuwaondoa na serikali imekuwa ikiheshimu Amri hiyo tangu sept 2018 (under Magu regime).
Kabla hujasema ya wanangorongoro chukua time ujifunze kwanza. Kwanza hushangai wanyamapori wanaweza vipi kuishi na binadamu bila kudhuriana?
Hivi kweli hujui kwamba hiyo coexistance iliyopo kati ya wanyamapori na na ng'ombe ipo miaka mingi na ndio kitu mojawapo inayovutia watalii, (pengine huna exposure )na ni aibu kwa kijana wa jamii ya pale kula swala au pundamilia wakati mbuzi wapo..
Anyway ni hivi kama unalipwa pesa kufanya propaganda acha mara moja, japo tunasikia kuna kitengo cha Intel NCCA wanahusika kufanya installment ya malipo..(tutacomfirm baadaye)
Tafuta takwimu ujue kama kweli hii hifadhi ipo hatarini , nanakuhakikishia HAKUNA, na kama ipo inakinzana na hali iliopo.
Nakukumbusha acha mara moja hizi propaganda,
Zitakuaharibia.
Pia soma > Hali ya Ngorongoro na wana-habari wanaoshinikiza wamasaai waondolewe hawajui chochote wanatumika vibaya bila kujua
Wamasai walikuwa hawali samaki sasa hivi wanakula samaki. Walikuwa hawali ugali, siku hizi mpaka wali wanakula. Hao wamasai mnaowazungumzia ni wa miaka ile, sio wa siku hizi. Wamasai walikuwa wanajenga manyata yao kwa kutumia udongo, fito, nyasi na kinyesi cha ng'ombe, siku hizi wanataka mabati ya South Afrika. Wamasai waliokuwa na utamaduni wa kuishi na wanyama wamebaki wachache, mila iliyobaki sasa ni hiyo ya mifugo mingi. Na zamani hiyo mifugo walikuwa hawakai nao sehemu moja sasa hivi hawana jinsi wanawafuga kama kuku wa kizungu.Kuua simba kuoa ni mila potofu ilishapigwa vita
Masai hali nyama pori kabisa sababu ukiila simba hula nyama pori
Ukimla mnyama utakuwa na harufu ya mnyama pori simba atajua wewe mnyama atakutafuna.Simba wangewamaliza wamasai kwa kuwala
Ndio maana masai hali mnyama pori hataki kuliwa na simba
Wamasai wana aina ya maisha ambayo ni rafiki kwa wanyama pori, hawawali wanyama hovyo hovyo.You stated so...its our duty to speak on behalf of those innocent people that NCCA decided to use monetary power to evict them in the name of conservation.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngorongoro masai hali mnyama pori simba atamla dakikaWamasai walikuwa hawali samaki sasa hivi wanakula samaki. Walikuwa hawali ugali, siku hizi mpaka wali wanakula. Hao wamasai mnaowazungumzia ni wa miaka ile, sio wa siku hizi. Wamasai walikuwa wanajenga manyata yao kwa kutumia udongo, fito, nyasi na kinyesi cha ng'ombe, siku hizi wanataka mabati ya South Afrika. Wamasai waliokuwa na utamaduni wa kuishi na wanyama wamebaki wachache, mila iliyobaki sasa ni hiyo ya mifugo mingi. Na zamani hiyo mifugo walikuwa hawakai nao sehemu moja sasa hivi hawana jinsi wanawafuga kama kuku wa kizungu.
Amandla...
Kifupi nikwambie hawa wanaoitwa masai unaowaona wanauza viatu vya masai na kuwa walinzi na wasuka nywele mijini saloon sio masai wa ngorongoro hao ni moja ya jamii inferior ya kabila za masai kikabila kidogo ndani ya wamasai kinaitwa wakwavi hawa ni mchanganyiko wa wagogo na masai wanapatikana mbele ya daraja la Ruvu mkoa wa pwani na kwao ni Kiteto Arusha ndio wengiWamasai walikuwa hawali samaki sasa hivi wanakula samaki. Walikuwa hawali ugali, siku hizi mpaka wali wanakula. Hao wamasai mnaowazungumzia ni wa miaka ile, sio wa siku hizi. Wamasai walikuwa wanajenga manyata yao kwa kutumia udongo, fito, nyasi na kinyesi cha ng'ombe, siku hizi wanataka mabati ya South Afrika. Wamasai waliokuwa na utamaduni wa kuishi na wanyama wamebaki wachache, mila iliyobaki sasa ni hiyo ya mifugo mingi. Na zamani hiyo mifugo walikuwa hawakai nao sehemu moja sasa hivi hawana jinsi wanawafuga kama kuku wa kizungu.
Amandla...
Kweli kabisa, wamehama wamachinga na mikwara yao yote.Wale wanalipia vitalu, Masai wangekuwa na akili wasibishane sana mwenye nchi akiamua wahame nakuapia watahama tu. Time is the best teacher.
Hivi wamachinga walikuwa na mikwara gani ?Kweli kabisa, wamehama wamachinga na mikwara yao yote.
Wote ni wale wale. Hamna cha original au mkwavi. Sitashangaa kusikia kuwa hata hao unaowaita wa Ngorongoro ni wahamiaji. Mistake kutudanganya. Wamasai waua simba wamebakia kwenye historia. Wahamishwe tu hao wa ziada ili hifadhi ipumue.Kifupi nikwambie hawa wanaoitwa masai unaowaona wanauza viatu vya masai na kuwa walinzi na wasuka nywele mijini saloon sio masai wa ngorongoro hao ni moja ya jamii inferior ya kabila za masai kikabila kidogo ndani ya wamasai kinaitwa wakwavi hawa ni mchanganyiko wa wagogo na masai wanapatikana mbele ya daraja la Ruvu mkoa wa pwani na kwao ni Kiteto Arusha ndio wengi
Hakuna masai original awezai kuacha ngombe zake aende kuwa mbwa mlinzi dar es salaam au kuuza viatu au dawa za kienyeji au kusuka salooon au kuzurura mabarabarani au kukaa juani kama machinga kuuza vinyago iwe Tanzania au nje
Hao wala kuku sijui nini ni wakwavi ni jamii ya kimasai low class ni kikabila kidogo mno hopeless ndani ya kabila kubwa la Masai huona aibu kujiita wakwavi wanajiita masai
Ni kama makabila ya Dar es salaaam ukikutana na mndengereko anajifanya mzaramo !!
Masai wa ngorongoro namba ingine ndio original
Tafiti za kuonyesha kuwa ongezeko la watu linaleta athari zimefanywa lakini hamuwezi kuzikubali. Toka mwaka 1979 Unesco ilionya kuhusu athari za ongezeko la watu na ufugaji holela katika eneo la Ngorongoro crater. Aidha, umuhimu wa Ngorongoro hautokani na wanyama peke yake. Ni eneo ambalo linaonyesha historia ya binadamu kutumia nyenzo za mawe ( Olduvai Gorge iko jirani) na mabadiliko kutoka matumizi ya mawe hadi chuma. Kuna dalili kuwa aina ya binadamu wamekuweko pale kwa zaidi ya miaka milioni 3. Aidha, Ngorongoro ni sehemu ya Serengeti- Mara eco system ambayo ni ya kipekee duniani. Ngorongoro si ya kwetu peke yetu au wamasai, ni ya ulimwengu mzima. Ndio maana ni World Heritage Site.Wamepinga kwa facts sio kama wewe.
Wanahoji mwaka 1959 kipindi wanakaa huko utafiti ulionyesha hakuna shida.
Kwanini sasa hawapeleki utafiti unaonyesha wao wanavyo tishia kutoweka kwa Ngorongoro?
Si Ngorongoro yenyewe wala tafiti zingine, zaidi ya wanasiasa na wawekezaji uchwara wa kiarabu.
Kuna 'mbobezi' mmoja kasema hii notion kwamba hifadhi inakufa kwa sababu ya uwepo wa Maasai ni 'scientific nonsense'..!Wote ni wale wale. Hamna cha original au mkwavi. Sitashangaa kusikia kuwa hata hao unaowaita wa Ngorongoro ni wahamiaji. Mistake kutudanganya. Wamasai waua simba wamebakia kwenye historia. Wahamishwe tu hao wa ziada ili hifadhi ipumue.
Amandla...