Maulid Kitenge punguza dharau Brother

Sijui kwanini Bongo watu wajinga wajinga ndio wanatrend tu wee fatilia hili wapo wengi dizain ya Maulid kwa akili hizi kuendelea Tz labda ashuke Mungu mwenyewe kwa maana wajinga wajinga ni wengi na ndio kama wana nguvu nchini nahisi ujinga wao ni mtaji kwa serikali
 
N
Nadhani ndio maana hospitali ya mirembe kubadili jina kuitwa afya ya akili kupunguza makali!!!
 


Chochote kinacho ‘trend’ maana yake kina nguvu kubwa ya wafuasi nyuma yake na ndio huko kinapata nguvu ya ku’trend’.

Maulid ni sehemu ya jamii ya watanzania. Tabia zake na za jamii yake hazina tofauti kubwa sana kwa maana mazingira na jamii huchangia katika kumtengeneza mtu.

Maulid ni zao halali kabisa la watanzania wa Tanganyika.

Maulid anawakilisha uhalisia wa Mtanzania yule pyuwa!



Ukimuelewa Maulid, utamuelewa mtanzania rangi yake halisi.


Tanzania ina watanzania halisi aina ya Maulid kwa asilimia zaidi ya nusu ya mia.


Tuendelee kuijenga nchi yetu Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…