Maulid Kitenge punguza dharau Brother

Maulid Kitenge punguza dharau Brother

Tittle: ALIYEKATAA UTUMWA ARUDI KUFANYA KAZI AIPENDAYO.

Sema Kitenge naye bomu kabisa.
 
Hatuwezi wote kuwa na kazi moja wala hatuwezi kukashifu uandishi wa habar maana wapo wazur,kam mwalimu nimeumia kwa hiyo sisi tunakula chaki ahaa[emoji848]sawa.illa ndio tumekufikisha hapo
 
Hatuwezi wote kuwa na kazi moja wala hatuwezi kukashifu uandishi wa habar maana wapo wazur,kam mwalimu nimeumia kwa hiyo sisi tunakula chaki ahaa[emoji848]sawa.illa ndio tumekufikisha hapo
Naam mnakula chaki wakati yeye akila maisha.
 
Ukweli mchungu, Ila huyu mwalimu angejua hasingekataaga, angekuwa anaendeshwa Sasa hivi.
 
Si mara moja wala mara 2 unapokuwa ukiripoti matukio mbalimbali umekuwa ukitumia lugha za kejeli especially kwa watu wenye mawazo tofauti na yako.

Hata kama unatekeleza kazi maalumu hupaswi kudharau watu.

Haya, Endelea na lile jukumu letu.

View attachment 2761433
Yeye akiambiwa ni mtaalamu wa kucheza na kulamba mike atakasirika na kuomba likizo.
 
Back
Top Bottom