Maulid Kitenge unaboa na vituko vyako

Maulid Kitenge unaboa na vituko vyako

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
1,222
Reaction score
776
Ukiangalia kipindi cha kusoma magazeti Wasafi TV kwakweli ndugu Maulid Kitenge unaboa sana na hivyo vituko vyako.

Yani umekuwa kama MC Pili pili hebu acha huo upuuzi. Ulikuwa mtangazaji mzuri sana wa michezo sasa umekuwa mpuuzi kama Zembwela.
 
Ananikera saana hata Mimi huyu maulidi amejaa sifa za kipumbavu, anapayuka hovyo hovyo tu Kama mhuni. Anakera saana. Siku hizi hata sisikilizi magazeti yake. Michezo ndo Hadi nataka kutapika akitangaza.

Zamani alikuwa Maulidi kitenge, siku hizi Maulidi khanga.
 
Nini kilikutuma umsikilize kama sio kiherehere chako?
IMG_20200804_131507.jpg
 
Ananikera saana hata Mimi huyu maulidi amejaa sifa za kipumbavu, anapayuka hovyo hovyo tu Kama mhuni. Anakera saana. Siku hizi hata sisikilizi magazeti yake. Michezo ndo Hadi nataka kutapika akitangaza.

Zamani alikuwa Maulidi kitenge, siku hizi Maulidi khanga.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Daaaah JF bana!
 
Kitenge na wenzake waliotimkia pale wasafi muda si mrefu wataanza kukimbizana pale , Mishahara yao ikilipwa kwa fedha za dhuluma za Makonda sasa kavuliwa u Rc sijiui atakwenda kumtishia nani..Kwa wasiojua 68% ya umiliki wa WASAFI ni ya Makonda
Kakutuma?
Hata huyo konda mwenyewe akikuskia atashangaa..kapata umiliki wapi..
IMG_20200804_131733.jpg
 
Ndio kazi yangu nna uzoefu wa muda tangu RFA. Tusichukuliane poa. Wenda nikisema jina langu halisi naweza kuwa your favourite host in town.
Unajuaje na mimi kama nna uzoefu tokea East Africa radio au na mimi nitaje jina langu ushangae ni mpendwa mtangazaji![emoji41]
 
Kitenge na wenzake waliotimkia pale wasafi muda si mrefu wataanza kukimbizana pale , Mishahara yao ikilipwa kwa fedha za dhuluma za Makonda sasa kavuliwa u Rc sijiui atakwenda kumtishia nani..Kwa wasiojua 68% ya umiliki wa WASAFI ni ya Makonda
Kumbe aisee
 
Back
Top Bottom