BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 776
Ww unaeza kutangaza tukupe nafasi yake?Ananikera saana hata Mimi huyu maulidi amejaa sifa za kipumbavu, anapayuka hovyo hovyo tu Kama mhuni. Anakera saana. Siku hizi hata sisikilizi magazeti yake. Michezo ndo Hadi nataka kutapika akitangaza.
Zamani alikuwa Maulidi kitenge, siku hizi Maulidi khanga.
Ndio kazi yangu nna uzoefu wa muda tangu RFA. Tusichukuliane poa. Wenda nikisema jina langu halisi naweza kuwa your favourite host in town.Ww unaeza kutangaza tukupe nafasi yake?
Daaa we mtu nakutafuta kama pesaaAnafoka
Umenitafutia wapi mtu wangu?Daaa we mtu nakutafuta kama pesaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Anafanya vile kulingana na boss anavyotaka. Boss mwenyewe mfokaji mpenda sifa utategemea wa chini yake wawe wastaarabu wafata protocol,ngumu sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Daaaah JF bana!Ananikera saana hata Mimi huyu maulidi amejaa sifa za kipumbavu, anapayuka hovyo hovyo tu Kama mhuni. Anakera saana. Siku hizi hata sisikilizi magazeti yake. Michezo ndo Hadi nataka kutapika akitangaza.
Zamani alikuwa Maulidi kitenge, siku hizi Maulidi khanga.
Kakutuma?Kitenge na wenzake waliotimkia pale wasafi muda si mrefu wataanza kukimbizana pale , Mishahara yao ikilipwa kwa fedha za dhuluma za Makonda sasa kavuliwa u Rc sijiui atakwenda kumtishia nani..Kwa wasiojua 68% ya umiliki wa WASAFI ni ya Makonda
Sawa, naona karibu kila mtu ni mmiliki wa wasafiKitenge na wenzake waliotimkia pale wasafi muda si mrefu wataanza kukimbizana pale , Mishahara yao ikilipwa kwa fedha za dhuluma za Makonda sasa kavuliwa u Rc sijiui atakwenda kumtishia nani..Kwa wasiojua 68% ya umiliki wa WASAFI ni ya Makonda
Unajuaje na mimi kama nna uzoefu tokea East Africa radio au na mimi nitaje jina langu ushangae ni mpendwa mtangazaji![emoji41]Ndio kazi yangu nna uzoefu wa muda tangu RFA. Tusichukuliane poa. Wenda nikisema jina langu halisi naweza kuwa your favourite host in town.
Kumbe aiseeKitenge na wenzake waliotimkia pale wasafi muda si mrefu wataanza kukimbizana pale , Mishahara yao ikilipwa kwa fedha za dhuluma za Makonda sasa kavuliwa u Rc sijiui atakwenda kumtishia nani..Kwa wasiojua 68% ya umiliki wa WASAFI ni ya Makonda