Maulid Kitenge unaboa na vituko vyako

Kitenge na wenzake waliotimkia pale wasafi muda si mrefu wataanza kukimbizana pale , Mishahara yao ikilipwa kwa fedha za dhuluma za Makonda sasa kavuliwa u Rc sijiui atakwenda kumtishia nani..Kwa wasiojua 68% ya umiliki wa WASAFI ni ya Makonda
Makonda bwana. Ameiuwa Clouds ili amchukue kusaga wafanye media mpya.....
 
Anaboa san yee na mwenzake zembwela, msieeeew zao khaaah
 
Kitenge kila anapooenda ni Majungu tu Angalia vipindi vya michezo anavyoendesha kazi yake yeye ni kuchonganisha mashabiki na timu hasa Simba..kashawaharibu Ambangile..,De job na Edo umbea mwanzo mwisho
 
Zamani alikuwa Maulidi kitenge, siku hizi Maulidi khanga.[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
 
Do I need to deploy all my IQ listening to news' paper headlines???
They read the headlines accompanied by a brief sarcastic discussion. Something many fail to note the message being sent.
 
halaf uskute we ni jamaa flan wa mtaani tu unashinda maskan kubishana kati ya Mesi na Ronaldo nani analipwa hela ndefu😁
 
yaani hiki kipindi cha magazeti asipokuwepo Kitenge huwa sisikilizi kabisa naona hakina ladha,pia kipindi chao cha michezo asubuhi huwa nasikiliza kuanzia habari za kitaifa kama anatangaza Maulidi Kitenge asipokuwepo basi nasubiri kuanzia saa nne asubuhi kusikiliza michezo kimataifa.
 
They read the headlines accompanied by a brief sarcastic discussion. Something many fail to note the message being sent.

I think they just make it too much to the extent viewers get bored, they need to reexamine their mocking approach. Paskali could be of assistance in this topic but he has deliberately decided to mute.
 

Kibaruani unaenda saa ngapi?
 
Aisee Wana makelele hao jamaa mmoja hajamaliza mwingine kashadakia tayari
 
Ukiangalia kipindi cha kusoma magazeti Wasafi TV kwakweli ndugu Maulid Kitenge unaboa sana na hivyo vituko vyako.

Yani umekuwa kama MC Pili pili hebu acha huo upuuzi. Ulikuwa mtangazaji mzuri sana wa michezo sasa umekuwa mpuuzi kama Zembwela.
Hivi kumbe bado wapo?
 
Juzi nimekutana nae pale bank ya NBC ubungo anatembea kavuta mgongo hadi kaoshaota kibiongo
 
Hicho kipindi kimekuwa Cha hovyo huyo kitenge na zembwela wanapenda sifa balaa
Wanashindana fulani sema zembwela bora angebaki tuu east africa pale aendelee kujenga jina huko aliko nyota ndio inazidi kuyoyoma kama kicheko alivyotoka e fm akaenda cloud kujifia huko
 
Wanashindana fulani sema zembwela bora angebaki tuu east africa pale aendelee kujenga jina huko aliko nyota ndio inazidi kuyoyoma kama kicheko alivyotoka e fm akaenda cloud kujifia huko
Yani hicho kipindi watangazaji wote utafikiri ni matahira ya mirembe, huyo zembwela East African ndo kulimprndeza kuliko huko aliko Sasa, kitenge naye alipotoka radio one ndo akaharibikiwa huko wasafi ndio kachizika kabisa too much mbwembwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…