Mashabiki wa Simba hovyo sana!!
Of course, kwa asiyemfuatilia Kitenge na akaongeza na chuki zake binafsi lazima aone Kitenge anaongea kishabiki sana dhidi ya Simba lakini kwa anayemfuatilia huku akiwa positive atafahamu kwamba jinsi Kitenge anavyoongea dhidi ya Simba ndivyo hivyo hivyo anavyoongea dhidi ya jambo lolote lile!!!
Anavyoongea dhidi ya Simba dhidi ya Simba ndivyo hivyo hivyo anavyoongea kwenye kipindi cha magazeti!
Wale old timers wenzangu wanakumbuka Sakata la Kitenge na Muhidin Ndolanga, hadi Ndolanga alifikia kuongea lugha chafu dhidi ya Kitenge wakiwa hewani!!!
Ndolanga wakati ule hakuwa kiongozi wa Simba bali alikuwa kiongozi wa FAT (TFF kwa sasa)!!
Kwahiyo ni kiroja kudai eti Kitenge ana chuki na Simba huku mkiwa mnaongea hayo kwa kutumia kigezo cha uwasilishaji wake wa mada!! Anyway, hakuna cha kuchangasha haat hivyo manake hata Mwana-Simba mwenzenu Kigwangala mlimwambia hivyo hivyo kwa sababu tu alijaribu kuhoji janja janja ya Mo-Dewji!