Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Hata wanaokutumia wanakudharau. Angalia tu Toilet Paper. Ikishatumika nani anaiweka mfukoni? Hamna.
GSM wanakupatia pesa nzuri ili utumike kupambana na Mo Dewj na Simba katika Media. Unapoongea suala la Simba unaongelea kishabiki, kimipasho kama mwanamke wa uswahilini. Si kiweledi kabisa.
Hebu jaribu kuchambua kisomi kiweledi siyo kwa hisia na chuki.tunajua kuwa uligombana na Haji Manara na pia ulikuwa unataka Manara apigwe chini wewe Uwe Msemaj ukidai wewe unasikilizwa na watu wengi. Ulipokataliwa ukajenga chuki kubwa.
Mbona wenzio ulioomba nao hawajawa na chuki kwa Simba?fanya kazi kwa weledi.