Maulid Kitenge unapotumika sana mwishowe unadharaulika

Kwahiyo Kigwangala ambae alianzisha mjadala wa Bilion 20 ni Yanga, au?!

Unajua sijui ushabiki maandazi au uelewa mdogo!!! Yaani seriously unasema hata asipotoa kwani shida ipo wapi wakati Wachezaji wanalipwa na gharama zote zinafanyika?! Hivi mnaangalia mbele ya safari nyinyi?! Hivi Yanga si walikuwa hivi hivi mbele ya Manji? What happened next?!

BInafsi ingawaje mimi sio Simba lakini nashabikia suala la Mo Dewji na Bilion 20 kwa sababu kwangu naiona ni kama RED ALERT kwa GSM na Wenzake pindi watakapotaka kuichukua Yanga! Wala siwezi kujitia upofu na kusema "kwani tatizo lipo wapi wakati GSM wanasajiri na kulipa wachezaji" kwa sababu nilishaona madhara ya huu ujanja ujanja wakati tupo na Manji!

Na binafsi, nilikuwa mmoja wa watu ambao nilishukuru sana Manji kuondoka Yanga kwa sababu siwezi kufurahia maendeleo yasiyo endelevu ambayo ndiyo hasa yamekuwa chanzo cha soka letu la hovyo hovyo ambalo mipango yake ALWAYS ni ya short-run!!
 
Daaah...inasikitisha sana kama hii ndo hoja unayotoa mtoto wa kiume? Luc Eymael alikuwa sahihi kusema wanayanga wanapiga kelele kama nyani na kubweka kama mbwa. Huwa hawana hoja. Vipi majibu ya Morrison hayajarudi bado? 😁


Ndo hoja? Unambania nani pua? Wengine hatutumii vitu hivyo. Ndemeti!
 
Kigwangala alinyimwa mikopo wa piki piki, Mo, atatoaje hela wakati taratibu hazijakamilika wakati hao FCC nao pia wanahusika kuchelewesha huo mchakato.

Hivi unawezeje kutoa mahali wakati hata kwa wakwe hujapelekwa na kukubaliwa kuwa wamekubali kumuoa binti yao, watu wamechoka kuwa na klabu omba omba.
 
Utopolo wanazidai sana utadhani wameahidiwa mkopo siku zikitoka.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yaani wanachokosea yanga ni kufanya propaganda simba iporomoke......

Aisee huo muda wanaopoteza sasa utagharimu timu zote sio simba pekee huko mbeleni
 
lengo la yanga ni kututoa kwenye mastari hivyo tunawapuuza, kila timu ipambane na hali yake
 
Maulid likiwepo swala la yanga michezo hata haonekan pale wasaf fm ...nilimsubiria kumsikia juu ya makamu aliyestopishwa sikumskiaa kesho yake likaibuka la simba na kuhusu mchakato kipindi kizima kikaishia hapo
kumbuka mtu kwao jamani..ni kweli lakini unazi pia unaingia kwenye mambo mengi...kumbuka swala la penzi kitovu cha uzembe utaelewa
 
Wewe mwenyewe umeleta mipasho tu hapa

Narudia tena kusema: Mashabiki wa simba na Wanawake waimba taarabu tofauti ni dera tu
 
Kuna mwanamke mwenye mipasho zaidi ya Bibie Haji Manara cheupe dawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…