Maulid Kitenge...

Maulid Kitenge...

Broadcast

Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
76
Reaction score
285
Nina hoja mbili kuhusu huyu legend kwenye utangazaji hapa nchini...
Zinazonipa maswali mengi

1.kwanini ni rahisi Kwa huyu jamaa kuama redio moja kwenda nyingine chapu chapu Bila kuangalia brand yake heshima yake yani yeye ni chapu chapu kisa kawekewa pesa nyingi

2.kingine huyu jamaaa ana mishe gani marekani? Nahisi kila baada ya mwezi ana safiri kwenda nje

Msaada kwwnye tuta
 
Alaf hamna kitu ni kelele nyingi tu
 
Brand bongo hapa? Itakusaidia nini? Hapa pesa kwanza hata akatangaze tukuyu fm
 
Kitenge huwa kabla hajaenda marekani huwa anaptia Congo anachukua vitenge kw wingi na doti chache za kanga ni biashara yake kubwa huko marekani na inamlipa kw kweli ndio Mana Mara kwa Mara anaptikana huko
 
Story za kijiweni aka Kamba ndo hii
 
Nina hoja mbili kuhusu huyu legend kwenye utangazaji hapa nchini...
Zinazonipa maswali mengi

1.kwanini ni rahisi Kwa huyu jamaa kuama redio moja kwenda nyingine chapu chapu Bila kuangalia brand yake heshima yake yani yeye ni chapu chapu kisa kawekewa pesa nyingi

2.kingine huyu jamaaa ana mishe gani marekani? Nahisi kila baada ya mwezi ana safiri kwenda nje

Msaada kwwnye tuta
 
Attachments

  • er.jpg
    er.jpg
    57.9 KB · Views: 7
Kitenge huwa kabla hajaenda marekani huwa anaptia Congo anachukua vitenge kw wingi na doti chache za kanga ni biashara yake kubwa huko marekani na inamlipa kw kweli ndio Mana Mara kwa Mara anaptikana huko
Tulioupata orientation kidogo Cuba tumekuelewa
 
Back
Top Bottom