Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,822
Sasa huyu iddi azani si ameshakuwa mbunge kwanini asiwaachie wenzie yeee si ameshakaa miaka kumi tiyaliiiiPasipo na Shaka Idd Azan anarudi jimboni. Amejiandaa vya kutosha na fedha anayo na anakubalika miongoni mwa wajumbe wa CCM jimboni.
Mtulia msomi lakini Hana mipango, vision na ameshindwa kuwavuta wajumbe wadogowadogo jimboni