Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Ukiona huyu bwana anaingilia mambo ujue kalipwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini suala hili la huyo RC ukiliangalia kwa jicho Kali la 'mwewe' utagundua kwamba ni kweli mtu huyo ametengenezewa skendo ili kumharibia sifa za kuendelea kuwa Mkuu wa Mkoa na kumharibia maisha yake yote kabisa. Ni muhanga wa targeted Sexpionage Operation and Sexual Entrapment/Honey trap Scandal.Ukiona huyu bwana anaingilia mambo ujue kalipwa
View attachment 3014619
Kesha tenguliwa huyo...... 😀 😀Lakini suala hili la huyo RC ukiliangalia kwa jicho Kali la 'mwewe' utagundua kwamba ni kweli mtu huyo ametengenezewa skendo ili kumharibia sifa za kuendelea kuwa Mkuu wa Mkoa na kumharibia maisha yake yote kabisa. Ni muhanga wa targeted Sexpionage Operation and Sexual Entrapment/Honey trap.
mbona wamesema hadi picha za CCTV camera zilipokelewa huko Polisi-ccm na ushaidi wa daktari pia ulionyesha binti alikulwa makalioni?Lakini suala hili la huyo RC ukiliangalia kwa jicho Kali la 'mwewe' utagundua kwamba ni kweli mtu huyo ametengenezewa skendo ili kumharibia sifa za kuendelea kuwa Mkuu wa Mkoa na kumharibia maisha yake yote kabisa. Ni muhanga wa targeted Sexpionage Operation and Sexual Entrapment/Honey trap.
www.jamiiforums.com
Futa hii comment haraka uwezavyo! Umechemka balaaaLakini suala hili la huyo RC ukiliangalia kwa jicho Kali la 'mwewe' utagundua kwamba ni kweli mtu huyo ametengenezewa skendo ili kumharibia sifa za kuendelea kuwa Mkuu wa Mkoa na kumharibia maisha yake yote kabisa. Ni muhanga wa targeted Sexpionage Operation and Sexual Entrapment/Honey trap.
Jaribu tu kufanya simple intelligence analysis kwamba ilikuwaje Nyaraka za Siri ( Classified Documents) ambazo Zina sensitive information za kutoka kwenye mamlaka ya Upelelezi Kama Jeshi la Polisi zivujishwe kirahisi namna hii humu mtandaoni??
Hii inawezekanaje?? Kitendo cha Kuvujisha Nyaraka za Siri za namna hii kwa mujibu wa Sheria za usalama wa Taifa katikà nchi yoyote ile hapa duniani inahesabika kama kosa la Uhaini, na katika nchi nyingi sana adhabu yake kwa kosa Kama hilo ni Kali Sana ikiwemo na kunyongwa Hadi kufa. Katika taasisi za kijeshi Kama Jeshi la Polisi watuhumiwa huwa wanapelekwa kwenye Mahakama za kijeshi (Court Marshall) na Kesi zao huendeshwa haraka sana na hatimaye wahusika wamekuwa wakinyongwa haraka kabisa. Sasa, Je, Askari Polisi aliyevujisha kwa umma hizo documents za Siri mmesikia kwamba tayari amekamatwa na Jeshi? Kwa nini?
Futa hii comment haraka uwezavyo! Umechemka balaaa
Wapi nimechemka??Futa hii comment haraka uwezavyo! Umechemka balaaa
No kwa nini afute. Jamaa ingawa mimi simkubalii ila kuna sehemu ana hoja hasa ni ishu ngapi sensitive lakini huwezi pata document zake za kipolisi tena verified official secret document in publix siku ya kwanza tu. Ila hiyo aimaanishi hakutenda. Narudia tuweke akili zetu open ili kuchambua na kudadavua hoja na si mihemukoFuta hii comment haraka uwezavyo! Umechemka balaaa
Aende mahakamani akawashitaki waliomtengenezea kashifa.Lakini suala hili la huyo RC ukiliangalia kwa jicho Kali la 'mwewe' utagundua kwamba ni kweli mtu huyo ametengenezewa skendo ili kumharibia sifa za kuendelea kuwa Mkuu wa Mkoa na kumharibia maisha yake yote kabisa. Ni muhanga wa targeted Sexpionage Operation and Sexual Entrapment/Honey trap.
Jaribu tu kufanya simple intelligence analysis kwamba ilikuwaje Nyaraka za Siri ( Classified Documents) ambazo Zina sensitive information za kutoka kwenye mamlaka ya Upelelezi Kama Jeshi la Polisi zivujishwe kirahisi namna hii humu mtandaoni??
Hii inawezekanaje?? Kitendo cha Kuvujisha Nyaraka za Siri za namna hii kwa mujibu wa Sheria za usalama wa Taifa katikà nchi yoyote ile hapa duniani inahesabika kama kosa la Uhaini, na katika nchi nyingi sana adhabu yake kwa kosa Kama hilo ni Kali Sana ikiwemo na kunyongwa Hadi kufa. Katika taasisi za kijeshi Kama Jeshi la Polisi watuhumiwa huwa wanapelekwa kwenye Mahakama za kijeshi (Court Marshall) na Kesi zao huendeshwa haraka sana na hatimaye wahusika wamekuwa wakinyongwa haraka kabisa. Sasa, Je, Askari Polisi aliyevujisha kwa umma hizo documents za Siri mmesikia kwamba tayari amekamatwa na Jeshi? Kwa nini?
Ni sahihi na ndio njia nzuri ya kujisafisha na kupata haki yake.Aende mahakamani akawashitaki waliomtengenezea kashifa.
Sijakataa kwamba huyo RC hajatenda, hoja yangu ipo kwenye suala la Polisi kuanika hadharani hiyo Classified documentsNo kwa nini afute. Jamaa ingawa mimi simkubalii ila kuna sehemu ana hoja hasa ni ishu ngapi sensitive lakini huwezi pata document zake za kipolisi tena verified official secret document in publix siku ya kwanza tu. Ila hiyo aimaanishi hakutenda. Narudia tuweke akili zetu open ili kuchambua na kudadavua hoja na si mihemuko
Documents za kijeshi za marekani na ujerumani huwa zinavuja itakuwa hizo documents za polisi wa hapa bongo!Lakini suala hili la huyo RC ukiliangalia kwa jicho Kali la 'mwewe' utagundua kwamba ni kweli mtu huyo ametengenezewa skendo ili kumharibia sifa za kuendelea kuwa Mkuu wa Mkoa na kumharibia maisha yake yote kabisa. Ni muhanga wa targeted Sexpionage Operation and Sexual Entrapment/Honey trap.