Maulidi Kitenge vs Salehe Jembe, Oscar Oscar na wengine

This is...

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
5,050
Reaction score
5,204
Unajua nataka kusema nini

Ukiwasikiliza kwa makini wachambuzi wa habari za matukio ya michezo katika tv na redio, utagundua kwamba wote ni mashabiki aidha Simba au Yanga. Lazima ana upande.

Tofauti inakuja kwamba ktk uchambuzi wao , Kuna wale ambao wawapo kazini wanachambua bila kujali ushabiki mfano salehe Jembe , Oscar Oscar, Ambangile na wengineo. Maandishi yao ya ushabiki ni nje ya kazi ktk page zao za mitandaoni.

Sasa Kuna huyu jamaa anaitwa Maulidi mwana wa KITENGE. Niseme sina chuki nae, sifahamiani nae lkn anapokuwa katika meza ya uchambuzi utafikiri ni mgeni mwalikwa kutoka katika klabu ya Yanga. Ana ushabiki wa waziwazi, hafahamu ile ni kazi anadhani yuko pale kuisemea Yanga. Anaboa sana.

Nataka nimwambie anapoteza umahiri ktk taaluma yake. Ajikite ktk kudeliver ukweli bila kujali mahaba aliyo nayo kwa Yanga.

Itoshe kusema yule ni Mchambuzi, mtetezi wa klabu ya Yanga.

Ajikite kwenye uchambuzi wa mpira ktk uhalisia wake badala ya ushabiki au mahaba na timu fulani. Mahaba yake akayaweke ktk page zake binafsi.
 
Baada ya hukumu ya cas kutoka kitenge alipewa za uso na wenzake kwanini siku ya wananchi alimtangaza morison ni mchezaji wa yanga akabaki kujichekesha
 
Unajua nataka kusema nini

Ukiwasikiliza kwa makini wachambuzi wa habari za matukio ya michezo katika tv na redio, utagundua kwamba wote ni mashabiki aidha Simba au Yanga. Lazima ana upande.

Tofauti inakuja kwamba ktk uchambuzi wao , Kuna wale ambao wawapo kazini wanachambua bila kujali ushabiki mfano salehe Jembe , Oscar Oscar, Ambangile na wengineo. Maandishi yao ya ushabiki ni nje ya kazi ktk page zao za mitandaoni.

Sasa Kuna huyu jamaa anaitwa Maulidi mwana wa KITENGE. Niseme sina chuki nae, sifahamiani nae lkn anapokuwa katika meza ya uchambuzi utafikiri ni mgeni mwalikwa kutoka katika klabu ya Yanga. Ana ushabiki wa waziwazi, hafahamu ile ni kazi anadhani yuko pale kuisemea Yanga. Anaboa sana.

Nataka nimwambie anapoteza umahiri ktk taaluma yake. Ajikite ktk kudeliver ukweli bila kujali mahaba aliyo nayo kwa Yanga.

Itoshe kusema yule ni Mchambuzi, mtetezi wa klabu ya Yanga.

Ajikite kwenye uchambuzi wa mpira ktk uhalisia wake badala ya ushabiki au mahaba na timu fulani. Mahaba yake akayaweke ktk page zake binafsi.
Kitenge ni shabiki oyaoya wa Utopolo.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kitenge ni Muongoza kipindi.

Muongoza kipindi anatakiwa awe na madoido kidogo.

Ila mchambuzi kama Jemedari Said kuonyesha kabisa upande wa timu anayoishabikia akiwa anachambua that's unprofessionalism.
 
Katka waandish wenye mahaba na simba moja kwa moja basi ni salehe jembe.
 
Maulid kitenge hajawahi kuwa mchambuzi wa MicheMichezo na hana akili hio toka awe ITV na Redio One, hakuwahi kuwa hata sessions za uchambuzi anafuata upepo wa Maisha matamu ya sasa kwa baadhi ya wanahabari wa sasa. Kachagua uandishi wa habari na utangazaji wa kiufuasi, ushabiki, kutumwa na kutumikia maslahi yake.

Kupanga ni kuchagua.
 
Hujamuweka mzee wa TIN, jamaa shabiki la simba lialia. Naona umemshambulia Kitenge tu na kuliacha hili jamaa.
 
Unajua nataka kusema nini

Ukiwasikiliza kwa makini wachambuzi wa habari za matukio ya michezo katika tv na redio, utagundua kwamba wote ni mashabiki aidha Simba au Yanga. Lazima ana upande.

Tofauti inakuja kwamba ktk uchambuzi wao , Kuna wale ambao wawapo kazini wanachambua bila kujali ushabiki mfano salehe Jembe , Oscar Oscar, Ambangile na wengineo. Maandishi yao ya ushabiki ni nje ya kazi ktk page zao za mitandaoni.

Sasa Kuna huyu jamaa anaitwa Maulidi mwana wa KITENGE. Niseme sina chuki nae, sifahamiani nae lkn anapokuwa katika meza ya uchambuzi utafikiri ni mgeni mwalikwa kutoka katika klabu ya Yanga. Ana ushabiki wa waziwazi, hafahamu ile ni kazi anadhani yuko pale kuisemea Yanga. Anaboa sana.

Nataka nimwambie anapoteza umahiri ktk taaluma yake. Ajikite ktk kudeliver ukweli bila kujali mahaba aliyo nayo kwa Yanga.

Itoshe kusema yule ni Mchambuzi, mtetezi wa klabu ya Yanga.

Ajikite kwenye uchambuzi wa mpira ktk uhalisia wake badala ya ushabiki au mahaba na timu fulani. Mahaba yake akayaweke ktk page zake binafsi.
Nakukumbasha tu Shaffih aligombania moja ya nafasi Simba ila wajumbe wa kamkata. Pili swala GSM na TFF limekaa kisheria na sio kwamba ww mchambuzi wa mpira basi unajua kila kitu mpaka maswala yanayo hitaji weledi wa kisheria.

Tatu TANZANIA KAZI ZA UCHAMBUZI ni kazi za michongo na kujuana, ukimtoa Ally Mayai na Kiemba Tanzania hamna mchambuzi atakaye jiita anaujua mpira.

Hebu angalieni EPL na baadhi ya vipindi vyao vya uchambuzi, then fananisheni na hizi kelele zenu za wachambuzi wenu.

Tuna wachezaji kibao wapo tu, wale wangechukuliwa wangepewa kozi za kujifunza miiko ya uandishi wa habari then wangekuwa wachambuzi wazuri.

Hawa mnao waita wachambuzi ni waganga njaa kwani wamevamia fani za watu.
 
Unajua nataka kusema nini

Ukiwasikiliza kwa makini wachambuzi wa habari za matukio ya michezo katika tv na redio, utagundua kwamba wote ni mashabiki aidha Simba au Yanga. Lazima ana upande.

Tofauti inakuja kwamba ktk uchambuzi wao , Kuna wale ambao wawapo kazini wanachambua bila kujali ushabiki mfano salehe Jembe , Oscar Oscar, Ambangile na wengineo. Maandishi yao ya ushabiki ni nje ya kazi ktk page zao za mitandaoni.

Sasa Kuna huyu jamaa anaitwa Maulidi mwana wa KITENGE. Niseme sina chuki nae, sifahamiani nae lkn anapokuwa katika meza ya uchambuzi utafikiri ni mgeni mwalikwa kutoka katika klabu ya Yanga. Ana ushabiki wa waziwazi, hafahamu ile ni kazi anadhani yuko pale kuisemea Yanga. Anaboa sana.

Nataka nimwambie anapoteza umahiri ktk taaluma yake. Ajikite ktk kudeliver ukweli bila kujali mahaba aliyo nayo kwa Yanga.

Itoshe kusema yule ni Mchambuzi, mtetezi wa klabu ya Yanga.

Ajikite kwenye uchambuzi wa mpira ktk uhalisia wake badala ya ushabiki au mahaba na timu fulani. Mahaba yake akayaweke ktk page zake binafsi.
Hakuna wachambuzi hapo wengi waangalia upepo unakovuma zaidi nao wanakimbilia huko
 
Kitenge ni Muongoza kipindi.

Muongoza kipindi anatakiwa awe na madoido kidogo.

Ila mchambuzi kama Jemedari Said kuonyesha kabisa upande wa timu anayoishabikia akiwa anachambua that's unprofessionalism.
Ni huku Bongo tu kuonyesha ushabiki wako unaitwa unprofessionalism. Ushabiki na uchambuzi mbona ni vitu viwili tofauti.... Mbona Ally Mayayi anajitahidi kuonyesha hii kitu kua inawezekana kua mshabiki wa timu na mchambuzi mzuri at the same time
 
Unajua nataka kusema nini

Ukiwasikiliza kwa makini wachambuzi wa habari za matukio ya michezo katika tv na redio, utagundua kwamba wote ni mashabiki aidha Simba au Yanga. Lazima ana upande.

Tofauti inakuja kwamba ktk uchambuzi wao , Kuna wale ambao wawapo kazini wanachambua bila kujali ushabiki mfano salehe Jembe , Oscar Oscar, Ambangile na wengineo. Maandishi yao ya ushabiki ni nje ya kazi ktk page zao za mitandaoni.

Sasa Kuna huyu jamaa anaitwa Maulidi mwana wa KITENGE. Niseme sina chuki nae, sifahamiani nae lkn anapokuwa katika meza ya uchambuzi utafikiri ni mgeni mwalikwa kutoka katika klabu ya Yanga. Ana ushabiki wa waziwazi, hafahamu ile ni kazi anadhani yuko pale kuisemea Yanga. Anaboa sana.

Nataka nimwambie anapoteza umahiri ktk taaluma yake. Ajikite ktk kudeliver ukweli bila kujali mahaba aliyo nayo kwa Yanga.

Itoshe kusema yule ni Mchambuzi, mtetezi wa klabu ya Yanga.

Ajikite kwenye uchambuzi wa mpira ktk uhalisia wake badala ya ushabiki au mahaba na timu fulani. Mahaba yake akayaweke ktk page zake binafsi.
Yule ni bwa bwa so relax
 
Back
Top Bottom