Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
- Thread starter
- #121
Wala sio kupopoaKwahiyo itakuwa alipewa huduma first class akapagawa π
Ila unawapopoa mawe vijana wenzako, watakuazimia kwenye vikao vyao π
Tatizo hawjatulia kabisaa wanawapanga hata 10 na hamjuani.
Sa maisha haya ukapangwe inahusu
Mwisho kufa na ukimwi bure