Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Na alileta uzi kuwa kuna siku alikuta waganga kwa majay hajui labda aliletewa chura wa kuzamisha ndani🤣Kinachomdatisha hadi ameshindwa kabisa kabisa ??
Anaponda wakati na yeye mwenyewe hajui kinachowekwa huko.
Haya maisha ni mapana sana...umdhaniye mtakatifu nae ana dark side yake..