secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Ulitakaje ba mkali?Maulidi yangu Leo hata sijaifurahia π₯²π₯²
Ema nchimbi ni kama alimwaga mchanga kwenye pilau yangu π₯²Ulitakaje ba mkali?
Nchimbi ndo kaiharibu kabisa yaani π₯²Yenyewe haikua na amsha amsha kwani Maulid inawakilisha jambo gani haswa huko kwa Musikiti
Au tumfuate hukohuko π€Ema nchimbi ni kama alimwaga mchanga kwenye pilau yangu π₯²
Ndiyo.Au tumfuate hukohuko π€