Maumivu baada ya kufanya mazoezi

Maumivu baada ya kufanya mazoezi

SILENT ACtOR

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
627
Reaction score
181
Wana JF naomba msaada. Napendelea zaidi zoezi la kukimbia, na hufanya hivyo kwa kiasi cha dakika 40. Lakini huwa nasumbuliwa na maumivu ya kifua saa chache baada ya mazoezi haya. Sipendi kuacha zoezi hili, hivyo naomba ushauri nini husababisha maumivu na namna gani nitaendelea na mazoezi haya bila maumivu. Natanguliza shukrani.
 
Muone daktari akupige xray ya kifua, unaweza kuwa na matatizo kwenye mapafu.
 
Back
Top Bottom