SILENT ACtOR
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 627
- 181
Wana JF naomba msaada. Napendelea zaidi zoezi la kukimbia, na hufanya hivyo kwa kiasi cha dakika 40. Lakini huwa nasumbuliwa na maumivu ya kifua saa chache baada ya mazoezi haya. Sipendi kuacha zoezi hili, hivyo naomba ushauri nini husababisha maumivu na namna gani nitaendelea na mazoezi haya bila maumivu. Natanguliza shukrani.