Maumivu baada ya kufanya tendo la ndoa

nyamlega

Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
38
Reaction score
6
Habari,

Jamani,naumwa kizazi baada ya tendo la ndoa,Msaada wenu jamani
 
Habari,

Jamani,naumwa kizazi baada ya tendo la ndoa,Msaada wenu jamani

Nenda hospital haraka sana kama una uhakika hiyo mashine si oversized!!! Kama una access na goggle pia unatafuta some of the causes huku ukitafuta gyno wa kukuangalizia tatizo lako. Sitaki kukuogopesha bora uende hospitali kwanza.
 
Habari,

Jamani,naumwa kizazi baada ya tendo la ndoa,Msaada wenu jamani

Hapo ulifanya ngono kama lingekuwa tendo la ndoa usingelala maumivu. Pole lakini ni ninyi haohao mnaopenda wanaume wenye migegedo mikubwa sasa kakuweka mbuzi kagoma kwenda umeipatapata, nenda akakurudie tena maumivu yataisha
 
[h=3]What causes vaginal bleeding during or after sexual intercourse?[/h]


Vaginal bleeding may occur during or after sexual intercourse for a number of reasons including:

  • Injuries to the vaginal wall or introitus (opening to the vagina) during intercourse
  • Infections (for example, gonorrhea, Chlamydia, yeast infections) can be a cause of vaginal bleeding after intercourse.
  • Lowered estrogen levels in peri-menopausal or postmenopausal women may cause the lining of the vagina to become thinned and easily inflamed or infected, and these changes can be associated with vaginal bleeding after intercourse.
  • Anatomical lesions, such as tumors or polyps on the cervix or vaginal wall may lead to vaginal bleeding during or after intercourse.
Women who experience vaginal bleeding during or following sexual intercourse should always visit their doctor to determine the cause of the bleeding.
 
WHAT CAUSE A WOMAN TO BLEED AFTER SEX?

There are many reasons why a woman may bleed after sex. The medical name for this is postcoital bleeding.

If you're concerned because you get vaginal bleeding after sex, get advice from your GP or a sexual health clinic (genitourinary or GUM clinic). They will ask you about your medical history and assess your symptoms to find out the cause of the bleeding. They can then advise you if any treatment is needed.
[h=3]Causes of bleeding after sex[/h]Bleeding after sex can be a sign of a health condition, such as:

  • an infection such as pelvic inflammatory disease (PID) or a sexually transmitted infection (STI) such as chlamydia
  • vaginal dryness (atrophic vaginitis) caused by reduced vaginal secretions after the menopause
  • damage to the vagina such as tears caused by childbirth, or by dryness or friction during sex
  • cervical or endometrial polyps (benign or non-cancerous growths in the womb or the lining of the cervix)
  • cervical ectropion (also known as cervical erosion), where there is an inflamed area on the surface of the cervix
Rarely, bleeding after sex can be a sign of cervical cancer or vaginal cancer.
[h=3]Tests and examinations[/h]Depending on any other symptoms and your medical history, your GP may recommend some tests or examinations, for example:

  • a pregnancy test (depending on your age)
  • a pelvic examination (where the GP inserts two fingers into your vagina to feel for anything unusual)
  • looking at the cervix with an instrument called a speculum
If the problem is caused by vaginal dryness, they may recommend that you try using lubricating gels.
You may also be referred to a specialist, such as a gynaecologist or genitourinary specialist
 
Habari,

Jamani,naumwa kizazi baada ya tendo la ndoa,Msaada wenu jamani
Pole sana im assuming kwamba ww ni mwanamke...ukiacha physical causes km mambo ya size na nini...kitu kingine kinachoweza kusababisha ni infections njia ya uzazi hasa sti lkn commonly ni p.i.d..kwa hiyo ni vzr km ukiweza uende kwa madaktari wazuri ..watasikiliza maelezo ya ziada na kufanya vipimo(incl uss)...na mambo yatakua poa
 
Hapo ulifanya ngono kama lingekuwa tendo la ndoa usingelala maumivu. Pole lakini ni ninyi haohao mnaopenda wanaume wenye migegedo mikubwa sasa kakuweka mbuzi kagoma kwenda umeipatapata, nenda akakurudie tena maumivu yataisha

Angejuaje kama mgegedo ni mkubwa ili asigegedwe naye?
 
Njoo nichungulie inshu yako ntajua tatizo lake. mi doctor usiogope au pga cm 0659999542.
 
Huyo jamaa uliyekula naye tunda hakukuandaa vya kutosha?:what:
Kama alikuandaa basi usingepata maumivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…