Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda Hospitali kaangaliwe usije hapa kueleze matatizo yako pasipo na kumuona Daktari kwanza .Habari,
Jamani,naumwa kizazi baada ya tendo la ndoa,Msaada wenu jamani
Nenda Hospitali kaangaliwe usije hapa kueleze matatizo yako pasipo na kumuona Daktari kwanza .
Habari,
Jamani,naumwa kizazi baada ya tendo la ndoa,Msaada wenu jamani
Habari,
Jamani,naumwa kizazi baada ya tendo la ndoa,Msaada wenu jamani
Pole sana im assuming kwamba ww ni mwanamke...ukiacha physical causes km mambo ya size na nini...kitu kingine kinachoweza kusababisha ni infections njia ya uzazi hasa sti lkn commonly ni p.i.d..kwa hiyo ni vzr km ukiweza uende kwa madaktari wazuri ..watasikiliza maelezo ya ziada na kufanya vipimo(incl uss)...na mambo yatakua poaHabari,
Jamani,naumwa kizazi baada ya tendo la ndoa,Msaada wenu jamani
Mkuu pakajimmy nnakuja...ila kaeleza kifupi sana
Hapo ulifanya ngono kama lingekuwa tendo la ndoa usingelala maumivu. Pole lakini ni ninyi haohao mnaopenda wanaume wenye migegedo mikubwa sasa kakuweka mbuzi kagoma kwenda umeipatapata, nenda akakurudie tena maumivu yataisha
Angejuaje kama mgegedo ni mkubwa ili asigegedwe naye?