mfereji maringo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2010
- 1,041
- 257
sio kua sehemu ya mwanamke ya siri ndio huitwa ivo kwa kiswahili sanifu kweli...........samahani kama ntakua nimetoa mana tofauti....... ndio mana cjaelewa hata alivosema maumivu chini ya kinena tena .........basi itakua ktk kati ya sehemu za siri ya mwanamke na sehemu ya siri ya nyuma ya mwanamke...........naona awasubiri tu madoctorAkapate ushahuri wa daktari tu. (Mi hata sijui Kinena ndio nini... :A S embarassed: )
jamani wadau nimeoa sasa ni wiki ya pili, mke wangu toka juzi analalamika kuwa anahisi maumivu makali chini ya kinena wakati wa kukojoa, mwanzo nilimwamwambia maumivu yataisha kwani pengine yanatokana na uroda kila siku na kwa kuwa mwili haujazoea hali hiyo itaisha, lkn hali inaendelea. je sababu ni nini? na nini kifanyike?
Akapate ushahuri wa daktari tu. (Mi hata sijui Kinena ndio nini... :A S embarassed: )
Inawezekana uti au labda ni mikwaruzo due to lack of enough lubrication during ur activity just guesing madoctor wanakuja,