maumivu chini ya kinena

maumivu chini ya kinena

mfereji maringo

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
1,041
Reaction score
257
jamani wadau nimeoa sasa ni wiki ya pili, mke wangu toka juzi analalamika kuwa anahisi maumivu makali chini ya kinena wakati wa kukojoa, mwanzo nilimwamwambia maumivu yataisha kwani pengine yanatokana na uroda kila siku na kwa kuwa mwili haujazoea hali hiyo itaisha, lkn hali inaendelea. je sababu ni nini? na nini kifanyike?
 
Akapate ushahuri wa daktari tu. (Mi hata sijui Kinena ndio nini... :A S embarassed: )
 
Inawezekana uti au labda ni mikwaruzo due to lack of enough lubrication during ur activity just guesing madoctor wanakuja,
 
Akapate ushahuri wa daktari tu. (Mi hata sijui Kinena ndio nini... :A S embarassed: )
sio kua sehemu ya mwanamke ya siri ndio huitwa ivo kwa kiswahili sanifu kweli...........samahani kama ntakua nimetoa mana tofauti....... ndio mana cjaelewa hata alivosema maumivu chini ya kinena tena .........basi itakua ktk kati ya sehemu za siri ya mwanamke na sehemu ya siri ya nyuma ya mwanamke...........naona awasubiri tu madoctor
 
jamani wadau nimeoa sasa ni wiki ya pili, mke wangu toka juzi analalamika kuwa anahisi maumivu makali chini ya kinena wakati wa kukojoa, mwanzo nilimwamwambia maumivu yataisha kwani pengine yanatokana na uroda kila siku na kwa kuwa mwili haujazoea hali hiyo itaisha, lkn hali inaendelea. je sababu ni nini? na nini kifanyike?

Inawezekana inatokana na jinsi mnavyo fanya sex au UTI au something else, ngoja tusikie wataalam wanavyosema. Kwa wanawake ambao kizazi chao kiko karibu na mlango, kuna style za sex ambazo huwa zinawaumiza na kuwasababishia maumivu kama hayo kutokana na pump action ya mwanaume, mfano wa style kama hizo ni chuma mboga, riding the horse backwards au mbuzi kagoma kwenda.
 
Mpe pole shemeji yetu...ila kaka nawe mhh!!!!
 
Mpe pole shemeji yetu...ila kaka nawe mhh!!!!
 
Mhmmm wabongo kwa sifa! Kama ni uloda asingelalamika maumivu ya kinena,unakulupuka na kumchuna dada wa watu maandalizi ni muhimu sana.
 
Given the short duration ya ugonjwa, Hiyo yaweza kuwa infection ya njia ya mkojo-UTI.
Kina mama wako prone sana kwa maambukizi hayo kutokana na maumbile yao.
Tunajua vyoo vyetu vya baa vilivyo au hata vyoo vya nyumba za kupanga za kushare au kama hygiene sio nzuri nyumbani or it can just happen for obscured reasons.
Could also be kwenye mirija ya uzazi-PID
Cha kufanya nenda hospitali kapime mkojo sanasana culture itaweza onyesha ni mdudu gani na inatibika kwa dawa gani.
Kama vipi kula antibiotics japo waweza tengeneza usugu.
Anyway subiri madokta wanakuja.... watatuhabarisha. Andaa consulation fee...
 
Tatizo laweza kuwa ni UTI (urinary truck infection) au infection nyingne like syphills...
Ni tatzo dogo kama ukiwah kwa doctor.
 
Akapate ushahuri wa daktari tu. (Mi hata sijui Kinena ndio nini... :A S embarassed: )

eneo lote la chini ya kitovu kuelekea kwenye **** uke/ume huitwa kinena. Na mie mke wangu anayapata sana lakini yeye ni mjamzito
 
Back
Top Bottom