Maumivu chini ya kitovo kwa mama majamzito

Maumivu chini ya kitovo kwa mama majamzito

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,577
Reaction score
4,637
Mke wangu ana ujauzito uliokadiriwa kuwa wa wiki 33 na siku 2 sasa hivi baada ya mazoezi ya kutembea tembea kidogo akasema anahisi maumivu makali yanavuta chini ya kitovu mithili ya maumivu ya hedhi...mpaka sasa bado yanamsumbua...

Sasa naamini kuna wataalam humu wanaweza nisaidia kwenye hili ni nini hiki na ninafanyaje muda huu? nimejawa hofu [emoji33] [emoji33]
 
Mke wangu ana ujauzito uliokadiriwa kuwa wa wiki 33 na siku 2...Sasa hivi baada ya mazoezi ya kutembea tembea kidogo...akasema anahisi maumivu makali yanavuta chini ya kitovu mithili ya maumivu ya hedhi...MPAKA SASA BADO YANAMSUMBUA...

SASA NAAMINI KUNA WATAALAM HUMU WANAWEZA NISAIDIA KWENYE HILI...NI NINI HIKI NA NINAFANYAJE MUDA HUU...? NIMEJAWA HOFU...[emoji33] [emoji33]
Mkeo hakuna hospital inayohudhuria klinik?
 
Mke wangu ana ujauzito uliokadiriwa kuwa wa wiki 33 na siku 2...Sasa hivi baada ya mazoezi ya kutembea tembea kidogo...akasema anahisi maumivu makali yanavuta chini ya kitovu mithili ya maumivu ya hedhi...MPAKA SASA BADO YANAMSUMBUA...

SASA NAAMINI KUNA WATAALAM HUMU WANAWEZA NISAIDIA KWENYE HILI...NI NINI HIKI NA NINAFANYAJE MUDA HUU...? NIMEJAWA HOFU...[emoji33] [emoji33]
Nendeni hospitali akafanyiwe uchunguzi wa uhakika. Inaweza kuwa hakuna tatizo, lakini ni bora kuwa na hakika juu ya hilo.
 
kama hakuna shida nyingine yoyote ile na maumivu hayaongezeki, aendelee na zoezi kama kawaida, ila maumivu yakwa yanaongezeka au kiashiria chochote cha hatari kwa mimba kama ambayo wanaelezwa kliniki basi mpeleke hilo kliniki yake
 
Back
Top Bottom