AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Mke wangu ana ujauzito uliokadiriwa kuwa wa wiki 33 na siku 2 sasa hivi baada ya mazoezi ya kutembea tembea kidogo akasema anahisi maumivu makali yanavuta chini ya kitovu mithili ya maumivu ya hedhi...mpaka sasa bado yanamsumbua...
Sasa naamini kuna wataalam humu wanaweza nisaidia kwenye hili ni nini hiki na ninafanyaje muda huu? nimejawa hofu [emoji33] [emoji33]
Sasa naamini kuna wataalam humu wanaweza nisaidia kwenye hili ni nini hiki na ninafanyaje muda huu? nimejawa hofu [emoji33] [emoji33]