AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Mkeo hakuna hospital inayohudhuria klinik?Mke wangu ana ujauzito uliokadiriwa kuwa wa wiki 33 na siku 2...Sasa hivi baada ya mazoezi ya kutembea tembea kidogo...akasema anahisi maumivu makali yanavuta chini ya kitovu mithili ya maumivu ya hedhi...MPAKA SASA BADO YANAMSUMBUA...
SASA NAAMINI KUNA WATAALAM HUMU WANAWEZA NISAIDIA KWENYE HILI...NI NINI HIKI NA NINAFANYAJE MUDA HUU...? NIMEJAWA HOFU...[emoji33] [emoji33]
Anahudhuria clinic ipo...Mkeo hakuna hospital inayohudhuria klinik?
Nendeni hospitali akafanyiwe uchunguzi wa uhakika. Inaweza kuwa hakuna tatizo, lakini ni bora kuwa na hakika juu ya hilo.Mke wangu ana ujauzito uliokadiriwa kuwa wa wiki 33 na siku 2...Sasa hivi baada ya mazoezi ya kutembea tembea kidogo...akasema anahisi maumivu makali yanavuta chini ya kitovu mithili ya maumivu ya hedhi...MPAKA SASA BADO YANAMSUMBUA...
SASA NAAMINI KUNA WATAALAM HUMU WANAWEZA NISAIDIA KWENYE HILI...NI NINI HIKI NA NINAFANYAJE MUDA HUU...? NIMEJAWA HOFU...[emoji33] [emoji33]
Kwanza...Uyo ni mtt wake wangap kumzaa?
Nenda hospital kumone Dk
Wa kwanza ...sasa ni wiki ya 36Uyo ni mtt wake wangap kumzaa?
Nenda hospital kumone Dk