Maumivu katika korodan

Joined
Jul 27, 2016
Posts
49
Reaction score
14
Habar ya muda wana jf?, kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu. Nimekumbwa na maumivu katika mshipa wa korodan yang ya kushoto cjajua nn chanzo hivyo naomba msaada wenu. Ikiw korodan zenyew haziumi na ziko sawa kiutendaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kma miez 3 imepita cjakutan na mwanamke yyte

Sent using Jamii Forums mobile app
basi hakikisha unapiga shoo sana kama hufanyi masterbation hakikisha unaruhus storage ya shahawa kwenye korodani zako zimekuwa na production kubwa ya shahawa halafu output haipo kwa nini korodani zisisumie kifupi zinatakiwa zitoke hizo shahawa kweny korodani kwa namna yoyote ile,. hiyo ni sawa na kula chakula halafu huendi chooni unategemea nini
 
Saw mkuu ntalifanyia kaz pia ntakuja na mrejesho
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saw mkuu ntalifanyia kaz pia ntakuja na mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu akuwezeshe utoe uchafu wote uliyozalisha na mwili ambao umegandamana kwenye korodani mpaka kufikia kuzifanya ziwe over loaded na siku hiyo usitumie mpira wowote kwa kuwa maturity ya hyo product ni dawa kwa afya ya uterus pamoja na njia ya upitishaji kwenye njia zake
 
asipige kabisa kwa kuwa hatakuwa anaponya maumivu ya korodani kabisa kama ulishafanya utafiti umwagaji wa shawaha umme ukiwe ukeni siyo sawa na umwagaji wa shahawa ukitumia sabuni. Karibu tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mshalishana matango kwenye hii thread.. Mkuu nenda kamcheki kama una hernia.. It has nothing to do with shahawa.. Sijui upige show.. Hakuna kitu kama hicho..

Nenda hospital kafanyiwe uchunguzi kama una hernia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…