THE POGORIAN MACHINE
Member
- Jul 27, 2016
- 49
- 14
Habar ya muda wana jf?, kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu. Nimekumbwa na maumivu katika mshipa wa korodan yang ya kushoto cjajua nn chanzo hivyo naomba msaada wenu. Ikiw korodan zenyew haziumi na ziko sawa kiutendaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app