Maumivu kwenye viungo mara nyingi usababishwa na kuumia kwa hayo maeneno yanayo uma, na kusababisha ligaments, pamoja na vilainishi kwenye viungo kulika na kusababisha maumivu, na hii upelekea zile elastic tissue na mifupa kupata msuguano na kusababisha maumivu... Hali hii ikiendelea itasababisha uvimbe ndani kwenye magoti na kupata ugonjwa wa arthritis na madhara mengine mabaya kama vile kuvimba kwa tissue, na kukusababisha madhara ya muda mrefu sana.
Ushauri ni kuwaona wataalam wa viungo kabla mambo hayaja haribika, maumivi ya viungo mara nyingi uchukuwa miaka mingi sana kupona. Usitishike, kwani ujachelewa sana, waone wataalam watakusaidia.