Maumivu kiunoni

Maumivu kiunoni

Kabakabana

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
5,550
Reaction score
1,165
Habari wakuu,
nina siku kama tatu kila niamkapo nasikia maumivu makali kiunoni?je inasababishwa na nini?na dawa yake ni nini?
Ahsanteni
 
Maumivu yakizi muone dk. Lkn kama ww ni mwaname cheki kwanza uti
 
we si ulikua rock city.labda mademu wa pale villa park walikutengua kiuno.
 
pole kabakabana maumivi ya kiuno yaani kwa lugha kisayansi tunaita waist pain inasababishwa na trauma yani injury ya kiuno amboyo inasabisha kutokea kwa mgandamano(presssure) katika spina nerve .kutokana na diagnosis yangu wewe utakuwa na Acute waist pain ambayo itakuwa imesababiswa na
1.dancing
2.kukaa kwa muda mrefu 8hrs au 9hrs
3.injury wakati wa sex au execess sex
4.ukosefu wa mazoezi
5.ajari
6.kulala kwenye kitanda kigumu au soft sana au mto
dawa epuka visababishi hapo juu
 
hiyo no.2 inanihusu kweli,,ahsante nitajitahidi.
 
Back
Top Bottom