Ndugu zangu nipo wilaya ya Mbeya vijijini,nimefungua duka dogo miezi miwili ilopita.Sasa wiki hii wamekuja watu wa Halimashauri wanakusanya pesa ya "taka ngumu" elfu ishirini,kwa kweli imeniumiza sana ukizingatia ndio naanza,je wilaya zingine mmesikia kitu kama hiki au ndio kurudishana nyuma kimaendeleo?hata pesa yenyewe ni kubwa sana ikikusanywa maduka yote.