Maumivu kwa wajasriamali wadogo.

Maumivu kwa wajasriamali wadogo.

Ahead

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
2,292
Reaction score
2,566
Ndugu zangu nipo wilaya ya Mbeya vijijini,nimefungua duka dogo miezi miwili ilopita.Sasa wiki hii wamekuja watu wa Halimashauri wanakusanya pesa ya "taka ngumu" elfu ishirini,kwa kweli imeniumiza sana ukizingatia ndio naanza,je wilaya zingine mmesikia kitu kama hiki au ndio kurudishana nyuma kimaendeleo?hata pesa yenyewe ni kubwa sana ikikusanywa maduka yote.
 
...pole sana mkuu!,
...ni kawaida kwa Manispaa kuzoa taka na kukusanya ushuru wa taka zinazolewa kwenye eneo lako la makazi na biashara.
...Dar tunalipa kuanzia kiasi cha 5000/= hadi 375000/= kwa mwezi..., inategemea unazalisha taka za aina gani (nyumbani, dukani, hotelini, viwandani n.k)
 
pole mkuu!! ila kama wenye maduka wote mmelipa kiasi sawa cha elf 20 si haki! ila kama kuna uwiano kulingana na ukubwa au aina ya taka zinazozalishwa ingekuwa ni afueni kwa wenye biashara ndogo ndogo!
 
Back
Top Bottom