Maumivu kwenye goti,nifanyeje?

Maumivu kwenye goti,nifanyeje?

MPEPE

Senior Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
155
Reaction score
65
Mwaka jana nilipanda bodaboda, gafla bodaboda ile ikaanguka na mimi nikafanikiwa kuruka na kumwacha dereva na ile toyo.

Mara baada ya kuruka nilijisikia maumivu kwa mbali maeneo ya goti lakini nikayapotezea.baada ya wiki moja maumivu yaliisha kabisa na nikawa na uwezo wa kukimbia kilomita 20. Lakini tangu jana maumivu yamerudia tena. Sasa sijui tatizo nini na nifanyeje?

Nimepumzika zoezi kabisa.nisaidieni jamani
 
Asante mkuu,nitarudisha feedbacks
 
Anza kwa kupiga x ray, uone kama kuna tatizo lolote.
 
Back
Top Bottom