Maumivu kwenye koo wakati wa kuongea

Maumivu kwenye koo wakati wa kuongea

tashyno abas

Member
Joined
Jul 8, 2015
Posts
12
Reaction score
8
Naisi maumivu nikiongea kooni. Ni hospital gani mzr ya koo au ni daktari gani mzr wa koo. Ni mwaka sasa naumwa huu ugonjwa! Naitaji msaada hata mwenye anajua dawa mzr ya asili aniambie.
 
Una uhakika haujarogwa?

Km una uhakika lala ukiamka wahi hospital
 
Nawaambia kilasiku vijana pisi ya kuokota haifai kupigwa deki ona sasa
 
Back
Top Bottom