teac kapex JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 470 Reaction score 137 Jul 19, 2013 #1 Nasikia maumivu ndani kwenye mrija wa uume wangu sijui tatizo litakuwa ni nini, msiniulize habari za ngono hapana sijawahi fanya hivyo sasa ni miaka 9 bila kutoka nje ya ndoa.
Nasikia maumivu ndani kwenye mrija wa uume wangu sijui tatizo litakuwa ni nini, msiniulize habari za ngono hapana sijawahi fanya hivyo sasa ni miaka 9 bila kutoka nje ya ndoa.
G GUTWE Senior Member Joined Jul 4, 2013 Posts 193 Reaction score 24 Jul 19, 2013 #2 Yawezekana mkeo ndio mtokaji nje ya ndoa kama sio wewe....
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Jul 19, 2013 #3 Hii inatokea mara nyingi usipokunywa maji mengi kwhyo ukienda kukojoa ule conco mkojo unakuwa una affect mrija u.t
Hii inatokea mara nyingi usipokunywa maji mengi kwhyo ukienda kukojoa ule conco mkojo unakuwa una affect mrija u.t
S sarey New Member Joined Jul 16, 2013 Posts 3 Reaction score 3 Jul 19, 2013 #4 Inaweza ikaw ni UTI nenda hosp kachek