Maumivu kwenye mrija wa uume.

Maumivu kwenye mrija wa uume.

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Nasikia maumivu ndani kwenye mrija wa uume wangu sijui tatizo litakuwa ni nini, msiniulize habari za ngono hapana sijawahi fanya hivyo sasa ni miaka 9 bila kutoka nje ya ndoa.
 
Yawezekana mkeo ndio mtokaji nje ya ndoa kama sio wewe....
 
Hii inatokea mara nyingi usipokunywa maji mengi kwhyo ukienda kukojoa ule conco mkojo unakuwa una affect mrija u.t
 
Back
Top Bottom