genious wa kijiji
Senior Member
- May 1, 2014
- 173
- 249
Nenda hospitlHabari
Kwa siku kadhaa nimekuwa napata maumivu yasiyo makali wakati wa kukojoa na ninapotoa shahawa. Nimeangalia historia yangu mara ya mwisho kusex bila kondom ilikuwa august.
Msaada tafadhali
ndo ushapata pangusa ivo ukichelewa tu kitabaki nuktaHabari
Kwa siku kadhaa nimekuwa napata maumivu yasiyo makali wakati wa kukojoa na ninapotoa shahawa. Nimeangalia historia yangu mara ya mwisho kusex bila kondom ilikuwa august.
Msaada tafadhali
hospital unazijua unakuja kuomba ushauri hapa we si msengerema