genious wa kijiji
Senior Member
- May 1, 2014
- 173
- 249
Habari
Kwa siku kadhaa nimekuwa napata maumivu yasiyo makali wakati wa kukojoa na ninapotoa shahawa. Nimeangalia historia yangu mara ya mwisho kusex bila kondom ilikuwa august.
Msaada tafadhali