mahondaw naona kila siku unaleta visa vya watu usije ukawa n ww mwenyew nyamaaaf.....
Halafu mwambie huyo mwanaume aache ungese hayo mambo ya kujifanya mkweli hayo ipo siku yatamtokea puani....
Wenzake wanasema ukweli wote ila sio huo wa michepuko... Ohoo shaur yake
Mwalimu wa secondari. Afu Mimi si ndo mleta habari banah data zote nimekusanya ipasavyo. hujatoa ushauri bado lakini
mahondaw naona kila siku unaleta visa vya watu usije ukawa n ww mwenyew nyamaaaf.....
Halafu mwambie huyo mwanaume aache ungese hayo mambo ya kujifanya mkweli hayo ipo siku yatamtokea puani....
Wenzake wanasema ukweli wote ila sio huo wa michepuko... Ohoo shaur yake
jaman tuwafiche wapi watoto wa kike kama mambo yenyewe ndo hivi?
Mke afanye vile moyo wake unataka
Afterall nani anataka mwanaume kitom**ist?????
Huyo mwl hata aibu hana
Kutwa kuharibu watoto wa wenzie hivi kwa nini asiripotiwe? Hafai kufundisha watoto wetu
Mume akisikia habari hospital tu inakua balaa maneno kibaooo inamana huniamini eh n.k
yaan huyo mwanaume ni tatizo! ameshajua anachoumwa ila anaona noma yatakayojiri hosp! unajua magonjwa ya zinaa yanatia aibu...sasa huenda yeye ana kaumaarufu flani kwenye hiyo wilaya anayokaa...so anaona itaspread, ndo hicho kinachomkwaza! Kama ni hivyo aende hosp ya mbali mf wilaya ingn..akubali gharama aepuke aibu. Ila mwisho wa siku lazma atibiwe na wife.
Otherwise akizidi kuzubaa, tatizo litakuwa kubwa zaidi na mwisho uponyaji wake utakuwa wa shida na wa muda mrefu huku gharama zikiwa kubwa na aibu juu
Ndo hapo sasa anaogopa nini!! Kama alisema wawe wakweli ili wasovu tatizo Haina haja ya kuogopa
hana akili. Kama uko karibu na huyo mkewe na alikushirikisha hili, mshauri akapime na akikutwa na tatizo atibiwe, wakigoma kumtibu peke yake awaambie mumewe kagoma, watamtibu tu. Then agome kushiriki tendo la ndoa na mumewe. Huyo mume mwacheni ajishauwe tu, itafika wakati atazidiwa na ataongoza hosp mwenyewe tena alfajiriiii, akishapona ndo ataelewa nini maana ya utulivu. Nonsense!